Shirika la Habari la la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maelfu ya waumini Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) katika Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Tanzania wamefanya Masira ya A'shura kuadhimisha kumbukumbu ya Shahada ya Imam Hussein (as), kulaani dhulma ya Karbala na kusisitiza umuhimu wa kusimama upande wa haki, uadilifu na kupinga dhulma katika jamii.

30 Juni 2026 - 15:20

Your Comment

You are replying to: .
captcha